Cico John wrote: Baba mmoja alikuwa mezani anakula na binti yake - TopicsExpress



          

Cico John wrote: Baba mmoja alikuwa mezani anakula na binti yake wa miaka mitano, simu ikalia, akanyanyuka kwenda kuongea nje , aliporudi binti yake akaanza; BINTI: Baba nikwambie kitu? BABA: Nyamaza nimekukataza mara ngapi kuongea wakati unakula? Maliza kula kwanza halafu utaniambia.... wakaendelea kula walipomaliza; BABA: Haya ulikuwa unataka kuniambia nini mwanangu? BINTI: Wakati umeenda kuongea na simu, paka ...
Posted on: Mon, 16 Sep 2013 09:18:39 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015