Conversation ya Ruto na Uhunye huwa kwa phone. Phone rings: UK: - TopicsExpress



          

Conversation ya Ruto na Uhunye huwa kwa phone. Phone rings: UK: Sema hustler RUTO: Poa sana mlevi, bluemoon ilikuisha kichwa? UK: Aah kitambo but Maggy amejam na mimi aje, anasema nilimtusi nikiwa mlevi. RUTO: Pwahahaa.. nilikushow uache ulevi ukunywe maziwa kama mimi. UK: Pombe yangu ni shida yangu nugu ii, ulikua umenicall kusema nini? RUTO: Wee unajua nilikushow hii stori ya VAT ni ngori ukasema tuongeze tu, sasa jua vile utadeal na mraiya. UK: Mbona unatumia akili kama kofia banar, bei ya pombe iko pale pale, kama walevi hawapigi kelele wee usishtuke, hii ingine ni kelele ya vuvuzela. RUTO: Sawa, na stori ya Hague umepangaje? Tunaachia nani country? UK: Kwani citizens ni watoi ati watabadilishwa diapers kila saa, ao ni watu wazima watajipanga. RUTO: Sawa tu acha mimi nijitoe kacredo kangu kamedie buddah. UK: ROR!.. mimi ata nina okoa jahazi sijalipa. RUTO: Pwahahahaha ..na vile una shamba mob, si uuze acre moja ubuy credo. UK: Usianze kuongea mambo ya shamba saii funda ii. Kwani umeingia kambi ya Raila? ngoma íno! RUTO: Hehe sawa na btw uambie Maggy aache kunipoke kwa fb UK: Sawa.. Na tafadhali usiende kulialia hague ovyoovyo.. aibu ndogo ndogo sitaki. RUTO: NKT!!!.. (Disconnects phone)
Posted on: Sat, 07 Sep 2013 13:52:52 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015