DEMU HUYU NOMA #Maboy Hivi majuzi tu nilikuwa na hang out na - TopicsExpress



          

DEMU HUYU NOMA #Maboy Hivi majuzi tu nilikuwa na hang out na rafiki yangu fulani majira ya saa nne usiku. Mara rafiki yangu akapata text meseji kutoka kwa binti fulani ambaye ni x-girlfriend wake. Huyu binti ni mwanafunzi wa chuo kikuu kimoja hapa mjini. Ni binti mzuri tu na wazazi wake wana uwezo sana. Alikuwa GF wa jamaa yangu lakini baadae akagundua jamaa yangu ni player hivyo uhusiano wao ukaanza kufifia. Later on huyu binti akapata mchumba na sasa hivi kuna vikao vya harusi vinaendelea. Cha kushangaza ni kuwa katika ile text huyu binti aalikuwa anamuomba jamaa yangu tuende kumuona yuko club fulani mjini na mchumba ake kwa madai ya kuwa anahitaji hug kutoka kwa jamaa yangu. Well tukaenda na tulipofika tukamjulisha kuwa tuko nje. Huyo binti akamuacha mchumba ake akaja nje. Jamaa yangu akamhug, waka kiss na kunyonyana sana huku jamaa anamshika shika demu makalio na mwili mzima. Baaada ya dakika 5 binti akarudi ndani na kutuomba tusubiri kama dakika 5 ndio twende ndani. After 5 minutes tukaingia ndani yule binti akajidai amekuwa suprised kutuona akaja akatukumbatia kisha tukaenda kumsalimia mchumba ake. nikabaki nashangaa kwanini huyu binti nafanya mambo haya wakati wa vikao vya harusi. Sasa hii ndoa itadumu kweli? Yani i am super confused om why binti aliye chuo kikuu anafanya mambo kama haya - yani huyu binti amepinda at the core basis of her moral foundation Source by:Jamii Forums
Posted on: Fri, 20 Sep 2013 21:33:05 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015