DONDOO 04102013 1.KLABU YA BANDARI IMEJIKAZA KISABUNI NA KWENDA - TopicsExpress



          

DONDOO 04102013 1.KLABU YA BANDARI IMEJIKAZA KISABUNI NA KWENDA SARE YA TASA NA BINGWA MTETEZI WA LIGI KUU NCHINI KATIKA MECHI ILIOCHEZEWA UGA WA MBARAKI MAJIRA YA ALASIRI KUFUATIA SARE HIYO SASA BADO BANDARI WAKO KATIKA NAFASI YA 8 KATIKA MSIMAMO WA LIGI WAKIWA NA ALAMA 34 2.AFGHANISTAN IMEFUZU KWA MARA YA KWANZA KWENYE KOMBE LA DUNIA KATIKA MCHEZO WA KRIKETI BAADA YA KUILAZA KENYA KWA WIKETI SABA KATIKA MECHI YA KUFUZU KWA DIMBA HILO MWAKA WA 2015 ILIOCHEZWA MJINI SHARJAH TAIFA HILO AMBALO NI MASKINI NA LIMEKUMBWA NA MZOZO WA NDANI KWA NDANI KWA MIAKA MINGI MINGI ILIJIZATITI NA KUILAZA KENYA AMABYO WAKATI MMOJA ILIFIKA NUSU FAINALI YA KOMBE LA DUNIA MICHUANO HIYO ITACHEZWA KATIKA MATAIFA YA AUSTRALIA NA NEW ZEALAND 3.LIGI KUU UINGREZA HAPO KESHO JUMLA YA MECHI 6 ZITACHEZWA BAADA YA KUBOMOLEWA BAO 3 KWA 1 NA BINGWA MTETEZI WA KOMBE LA KLABU BINGWA ULAYA BAYERN MUNICH,MANCHESTER CITY ITAIALIKA NYUMBANI EVERTON CARDIFF WATAIALIKA NEW CASTLE FULHAM WATAKUA NYUMBANI KUVAANA NA STOKE HULL NA ASTON VILLA LIVERPOOL NA CRYSTALL PALACE SUNDERLAND WATAKUA NYUMBANI KUIKARIBISHA BINGWA MTETEZI MANCHESTER UNITED NA SIKU YA JUMAPILI KUTAKUA NA MECHI 4 NORWICH WATAKUA NYUMBANI KUZIPIGA NA CHELSEA SOUTHAMPTON NA SWANSEA TOTTENHAM NA WEST HAM WESTBROM WATAIALIKA ARSENAL 4.MENEJA WA ARSENAL ARSENE WENGER AMESEMA KWAMBA TABIA YA JACK WILSHERE YA UVUTAJI SIGARA AKISEMA KUWA TABIA HIYO HAIKUBALIKI NA HAITAVUMILIWA KIUNGO HUYO WA UINGREZA ALIONEKANA AKIVUTA SIGARA NJE YA KLABU YA USIKU NJE YA JIJI LA LONDON BAADA YA USHINDI WA BAO 2 KWA YAI DHIDI YA NAPOLI KWENYE MECHI YA KOMBE LA KLABU ULAYA WENGER AMESEMA KAMA MCHEZAJI WA SOKA UNAKUA MFANO MZURI KWA HIVYO HUSTAHIKI KUFANYA JAMBO LINALOWEZA KUKUDHURU AFYA HATA HIVYO WENGER AMESEMA KUWA INGAWAJE HAJUA HASWA KILICHOTOKEA LAKINI ATAMKELISHA CHINI WISHERE NA KUZUNGUMZA NAE WENGER ASEMA MCHEZAJI YUKO HURO KUFANYA HIVYO AKIWA KWAKE LAKINI SIO MBELE YA UMMA MBALI NA KUJIARIBU AFYA LAKINI PIA HESHIMA INAPUNGUA WENGER HATA HIVYO AMESEMA HILO LINAMSHANGAZA NA KUMSHTUA SANA KWANI HATA HALI YA ANGA YA UINGREZA KWA UVUTAJI WA SIGARA SIO NZURI KWA AFYA YA MTU KULIKO SEHEMU NYENGINE BARANI ULAYA
Posted on: Fri, 04 Oct 2013 17:15:06 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015