DONDOO 12102013 1.KLABU YA GORMAHIA ILIJIKATIA TIKETI YA NUSU - TopicsExpress



          

DONDOO 12102013 1.KLABU YA GORMAHIA ILIJIKATIA TIKETI YA NUSU FAINALI YA DIMBA LA GO TV BAADA YA KUILAZA WESTERN STIMA BAO 2 BILA JIBU KATIKA MECHI ILISUKUMWA UGA WA KITAIFA WA NYAYO MABAO YOTE YA WASHINDI YAMETIWA KIMIANI NA MGANDA DAN SSERUNKUMA CHINI YA DAKIKA 6 KATIKA MECHI YA AWALI NI KWAMBA SONY SUGAR PIA ILIFUZU KWA NUSU FAINALI YA DIMBA HILO BAADA YA KUILAZA MATHARE UNITED BAO 4 KWA 2 KWA KUPITIA BAKORA ZA SHEMEJI NIPISHE BAADA YA KUAGANA SARE YA TASA KATIKA MDA WA KAWAIDA PIA MECHI HIYO IMEBURUZWA UGA WA KITAIFA WA NYAYO MECHI ZA HAPO KESHO SOFAPKA NA FINLAYS HORTICULTURE AFC LEOPRADS NA KARUTURI MECHI ZOTE UGA WA KITAIFA WA NYAYO SAA NANE NA SAA KUMI UNUSU MTAWALIA 2.KLABU YA HIPPO FC IMEILAZA COASTAL KINGS BAO 2 KAPUTI KATIKA MECHI YA KUMBUKUMBU YA MCHEZAJI ALIEWAHI ZICHEZEA TIMU HIZO MBILI OKECTH CORNELI ALIEAGA DUNIA ALHAMISI ILIOPITA KATIKA NJIA YA KUTETANISHA NA MWILI WAKE KUPATIKANA NDANI YA SHOMO LA MAJI CHAFU MADHUMUNI YA MECHI HIYO ILIONDALIWA KATIKA UGA WA BOMU ILIKUA KUSAIDIA KUCHANGISHA PESA ZA KUUSINDIKIZA MWILI WA MWENDA ZAKE HUKO BUNDALANGI ALHAMISI HII MECHI HIYO ILIOPANGWA NA WASHIKADAUY WA SOKA ENEO HILO CHINI YA GHOSHO JUMA ALI NA BOKII PIA ILISAIDIA KUCHANGA SHILINGI 66 000 KATIKA MCHANGO WA TAKRIBAN DAKIKA 40 ULIOONGOZWA NA MBUNGE WA ENEO HILO OMAR MWINYI MIONGONI MWA WALIOHUDHURIA MECHI HIYO NI WAWAKILISHI WADI FADHILI MWALIMU PORT REIZ,NAIBU SPIKA WA BUNGE LA KAUNTI YA MOMBASA MSWABAH RASHID ALIE PIA MWAKILISHI WADI WA AIPORT,IBRAHIM KONDO WA KIPEVU NA PIA ALIEKUA DIWANI WA AIPORT ALI SAURA 3.KATIKA MECHI ZA KIRAFIKI ZA KIMATAIFA AMBAZO ZIMEPIGWA LEO HII LEO MABAO MAWILI YA NEYMAR NA OSCAR YAMEIWEZESHA BRAZIL KUILZA KOREA KUSINI NAO MORROCO NA AFRIKA KUSINI WAKAAGANA SARE YA BAO 1 KWA 1 HAPO JANA UFARANSA ILIILAZA AUSTRALIA BAO 6 BILA JIBU HUKU UKAME WA MAGOLI KWA KAREEM BENZEMA UKIANZA KUMWONDOKEA KWANI ALICHANGIA KUPACHIKA MOJAWAPO WA MAGOLI HAYO AMBAPO PIA OLIVIER GIROUD ALIFUNGA BAO 2,NAE YOHANE CABAYE NA DEBUCHY WAKIFUNGA GOLI MOJA MOJA NA SIKU MOJA BAADA YA KICHAPO HICHO AUSTRALIA IMEFUTA KAZI MKUFUNZI HOLGER OSIECK NA CHA KUSHANGAZA NI KWAMBA MKUFUNZI HUYO RAIA WA UJERUMANI MWENYE UMRI WA MIAKA 65 TAYARI AMESHAISAIDIA TIMU HIYO KUFUZU KWA DIMBA LA DUNIA KULE BRAZIL MWAKA UJAO 4.MKUFUNZI WA COAST UNITED YAHYA HASSAN ANA MATUMAINI KWAMBA WATAFANIKIWA KUILZA HASIMU WAKE SPARKI YOUTH KATIKA DERBY YA MOMBASA HAPO KESHO JUMAPILI COAST UTD BADO WANAFUKUZIA NAFASI 5 ZA KWANZA KATIKA LIGI YA KITAIFA DIVISHENI YA KWANZA MECHI HIYO INATARAJIWA KUCHEZWA UGA WA REFINERY AMBAPO SPARKI YOUTH WATAKUA WENYEJI 5.WAAMUZI WATAKAOCHEZESHA MECHI KATI YA BANDARI NA KAKAMEGA HOME BOYZ SIKU YA JUMATANO TAREHE 16 UGANI MBARAKI SAA TISA ALASIRI WAMETAJWA REAFRII WA NAIROBI ANDREW JUMA NDIE ATAPULIZA KIPENGA MSAIDIZI WA KWANZA NI JOHN ALANDO KUTOKA NAIROBI NA MSAIDIZI WA PILI JUBAAL MWANDAWIRO KUTOKA VOI RICHARD OBARE KUTOKA NAIROBI ATAKUA REFARII WA AKIBA NAE FRANK MUSUNGU KUTOKA NAIROBI ATAKUA MATCH COMMISSIONER
Posted on: Sat, 12 Oct 2013 17:06:37 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015