DONDOO 25102013 1.MSHAMBULIZI WA BARCELONA LIONEL MESSI ATAANZA - TopicsExpress



          

DONDOO 25102013 1.MSHAMBULIZI WA BARCELONA LIONEL MESSI ATAANZA KATIKA MECHI YA EL CLASSICO HAPO KESHO UGANI CAMP NOU DHIDI YA REAL MADRID BAADA YA KUPONA JERAHA LA PAJA MESSI ALIKOSEKANA KWENYE MECHI YA KOMBE LA KLABU BINGWA ULAYA DHIDI YA CELTIC NA PIA USHINDI DHIDI YA VALLADOLID LAKINI ALIANZA NA KUFUNGA KWENYE MECHI YA KOMBE LA ULAYA DHIDI YA AC MILAN PIA KOCHA WA BARCA ATAJIKUNA KICHWA IWAPO AWACHEZESHE PAMOJA CARLOS PUYOL NA GERAD PIQUE AMBAE ANAJERAHA DOGO LA HAMSTRING MECHI AMBAZO NI ZA HIVI KARIBUNI ZA WAKALI HAWA NI KAMA ZIFUATAZO 2012-13 Real Madrid 2-1 Barcelona Barcelona 2-2 Real Madrid 2011-12 Barcelona 1-2 Real Madrid Real Madrid 1-3 Barcelona 2010-11 Real Madrid 1-1 Barcelona Barcelona 5-0 Real Madrid 2009-10 Real Madrid 0-2 Barcelona Barcelona 1-0 Real Madrid 2008-09 Real Madrid 2-6 Barcelona Barcelona 2-0 Real Madrid NA PIA KOCHA WA REAL MADRID ANATATHMINI AMUANZISHE SAJILI BORA DUNIANI GARETH BALE BAADA YA KUINGIZWA KAMA SUB DHIDI YA JUVENTUS BARCELONA WANATARAJIWA KUWA BILA JORDI ALBA,IBRAHAM AFELLAY NA JONATHAN DOS SANTOS AMBAE WAKO JE KWA MIEZI 6 KUTOKANA NA MAJERAHA YA MAGOTI 2.KIUNGO WA MANCHESTER CITY YAYA TOURE WAKATI UMEFIKA WA SHIRIKISHO LA SOKA DUNIANI NA LILE LA BARA ULAYA KUFANYA KAZI YAO BAADA YA KUWALAUMU MAFANS WA CSKA MOSCOW KUMKEJELI KIRANGI KWENYE MECHI YA KOMBE LA KLABU BINGWA ULAYA TOURE AMETISHIA KWAMBA HUENDA WACHEZAJI WA AFRIKA WAKASUSIA DIMBA LA DUNIA MWAKA WA 2018 NCHINI URUSI YAYA ANASEMA KUWA SI VYEMA MWANSOKA KUCHEZA SOKA HALAFU MASHABIKI WAKUITE NYANI TOURE ALIZUNGUMZA NA MWAMUZI WA MECHI HIYO OVIDIU HATEGAN NA KUMLALAMIKIA KUHUSU TABIA YA MASHABIKI HAO ,HATA HIVYO KLABU HIYO IMEKANA MADAI KWAMBA KULIKUA NA KEJELI ZA RANGI DHIDI YA TOURE LAKINI TOURE ANASISITIZA ALIITWA NYANI AKISEMA INAUMA SANA KUONA KWAMBA NI KIMNUKUU,’’SISI SOTE NI BINADAMU SIO HISIA NZURI KUENDA KUCHEZA MPIRA KULETA UTAMU KWA MASHABIKI NA KUITWA NYANI AU KUPIGIWA KELELE ZA KEJELI MITHILI YA ZA NYANI MWENYEWE NA KINACHONIUMA ZAIDI NI KWAMBA MIMI MWENYEWE BINAFSI SIPENDI NYANI”,MWISHO WA NUKUU HATA HIVYO KUNA WAKUFUNZI WAMELIGUSIA HILO WAKISEMA HWAKUBALIANA NA PENDEKEZO LA TOURE KUSEMA KWAMBA WACHEZAJI WA KIAFRIKA WATASUSIA DIMBA LA DUNIA IWAPO HILO HALITASHUKHULIKIWA WAO NI JOSE MOURINHO WA CHELSEA NA DAVID MOYES ALIESEMA SI VYEMA WACHEZAJI KUTOKA UWANJANI IWAPO WAMEBUHUDHIWA KIRANGI 3.MECHI ZA LIGI KUU UINGREZA KUENDELEA KESHO NA KESHO KUTWA CRYSTAL PALACE YAKINA MAROUNE CHAMAKH ITAIALIKA ARSENAL KATIKA MECHI YA KWANZA ASTON VILLA WATAIALIKA EVERTON LIVERPOOL WATAPAMBANA NA WEST BROM MANCHESTER UNITED WATAKUA NYUMBANI DHIDI YA STOKE NORWICH NA CARDIFF KISHA SOUTHMPTON IVAANE NA FULHAM JUMAPILI NDIO KUTAKUA KUMEKUCHA KUCHELE MSIKILIZAJI AMBAPO MANCHESTER CITY WATAKUA WAGENI WA CHELSEA UGANI STAMFORD BRIDGE AMBAPO KAPTENI WA CITY VINCENT COMPANY ATAKOSEKANA KWENYE MECHI HIYO KUTOKANA NA JERAHA LA PAJA MECHI NYENGINE JUMAPILI SUNDERLAND NEW CASTLE TOTTENHAM NA HULL SWANSEA NA WEST HAM 4.GORMAHIA WALITAWAZWA MABINGWA WA LIGI KUU NCHINI MWAKA WA 2013 HAPO JANA BAADA YA KUZAWADIWA ALAMA 3 MUHIMU KUTOKANA KUTIBUKA KWA MECHI YAO DHIDI YA SONY, LAKINI BASI WATASUBIRI HADI MECHI YAO YA MWISHO DHIDI UA ULIZNI STARS UGANI AFRAHA NAKURU ILI WAKABIDHIWE KOMBE LAO AKIZUNGUMZA KATIKA MAHOJIANO YA KIPEKEE NA GOAL.COM AFISA MKUU KPL JACK OGUDA AMESEMA KWAMBA KOGALO HAWATAPEWA KOMBE HILO KABLA YA MSIMU KUISHA WAKATI HUO HUO OGUDA PIA AMEDOKEZA KWAMBA TAYARI MATAYARISHO YANAFANYWA KUMKABIDHI MWANA KOGALO KOMBE HILO AMBALO WAMEKUA WAKILISAKA TENA BAADA YA MIAKA 18 ILIOPITA
Posted on: Fri, 25 Oct 2013 18:42:30 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015