DONDOO 30102013 1.MENEJA WA ARSENAL ARSENE WENGER AMESEMA KWAMBA - TopicsExpress



          

DONDOO 30102013 1.MENEJA WA ARSENAL ARSENE WENGER AMESEMA KWAMBA KUBANDULIWA KWAO NJE YA DIMBA LA CAPITAL NA CHELSEA HAPO JANA USIKU HAKUTAATHIRI JUHUDI ZAO ZA KUSAKA UBINGWA WA LIGI KUU UINGREZA MSIMU HUU HUKU WAKIKABILIWA NA FIXTURE NGUME MWEZI NOVEMBA MAGOLI YAO WAHISPANIA CESAR AZIPILICUETA NA JUAN MATA YALITAWALA KUSHINDWA MARA MBILI KWA ARSENAL NYUMBANI EMIRATI KATIKA MECHI NGUMU ZIJAZO KIONGOZI HAO WA LIGI WATAKUA NA KIBARUA KIGUMU LIGINI DHIDI YA LIVERPOOL NA MANCHESTER UNITED TANGU WALIPOPOTEZA KWA STON VILLA KATIKA MECHI YAKE YA KWANZA YA LIGI ARSENAL WAMEANDIKISHA USHINDI MARA 11 KABLA YA KUPOTEZA KWA BORRUSSIA DORTMUND KATIKA CHAMPIONS LEAGU WIKI MOJA ILIOPITA HIYO ILIKUA NI MECHI YA 9 KWA MKUFUNZO JOSE MOURINHO KUTOSHINDWA NA MKUFUNZI ARSENE WENGER ,PIA CHELSEA WAMESHINDA MECHI ZAO 4 ZA CAPITAL ONE DHIDI YA ARSENAL
Posted on: Wed, 30 Oct 2013 11:49:15 +0000

Recently Viewed Topics




© 2015