DUE TO PUBLIC DEMAND ULEVI NI NOOOOOOOOMA.!!!Mlevi - TopicsExpress



          

DUE TO PUBLIC DEMAND ULEVI NI NOOOOOOOOMA.!!!Mlevi mmoja aliingia kwenye matatu na kukaa siti ya mbele, akaweka begi lake kwenye siti kulia kwake kisha akalala. Baada ya muda akaingia mlevi mwingine akatoa lile begi, akaketi yeye...naye akalala. Mlevi wa kwanza alipoamka bila kuangalia akafungua zipu ya mlevi mwenzake akijua anafungua begi lake...Akaanza kupapasa ndani, kwa hasira akauliza, "NANI KAWEKA NDIZI MOJA, NYANYA MBILI NA STEELWIRE KWENYE BEGI LANGU!!"
Posted on: Tue, 13 Aug 2013 14:37:12 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015