Daaaaah.... Kuna kademu nachat nacho kananiambia eti kapo U.S.A - TopicsExpress



          

Daaaaah.... Kuna kademu nachat nacho kananiambia eti kapo U.S.A nkakaambia vp huko amjambo kakanijibu huku 2po pouw karibu nw 2nakula lunch nikichek huku ni saa 6 na nusu.... Nkashtuka kumbe ni #kambulula coz kule ndio kwanza kunakucha muda huu daaaah.... Nazidi kukapa moyo2 asante sana... Kwan unakula nn....? Eti nakula chipx na sausage na juic ya AZAM.... Majanga 2pu #kabla_ujadanganya_fanya_utafit....
Posted on: Sun, 25 Aug 2013 10:08:03 +0000

Trending Topics



style="min-height:30px;">
AYAHUASCA CEREMONIES We opened this space to provide the

Recently Viewed Topics




© 2015