Daah!... Nimetulia zangu hapa chini ya mwembe usiku huu, nafikiria - TopicsExpress



          

Daah!... Nimetulia zangu hapa chini ya mwembe usiku huu, nafikiria kama Tanzania itajitoa East African Community na kujiunga na Kongo na Burundi… Yeah!... Nchi tatu : Burundi (BU), Tanzania (TA) na Kongo (KO)… Kifupi nadhani itakuwa BU.TA.KO… Ila kuna taarifa nilipokea usiku huu eti Malawi (MA), Tanzania (TA) na Kongo (KO) eti nao wanataka kuanzisha Jumuiya yao… Hapa naona kifupi tutaitwa : MA.TA__ mmmmh!... Hebu malizia hapo, mjukuu wangu… Mi’ naingia zangu chumbani kulala… Usiku mwema !...
Posted on: Thu, 31 Oct 2013 20:37:09 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015