Dear Ladies, Vitu unafaa kufanyia chali yako.. Unampea kiss - TopicsExpress



          

Dear Ladies, Vitu unafaa kufanyia chali yako.. Unampea kiss ama hug mbele ya mabeshte zako. Unamwoshea kangotha na unamshonea kale kamebeat. Usimkaushe ikuss sana unampatia kila tym akidai. Uwe ukimdefend kwa mabeshte na kwa mahaters wote. Unamlipia nyumba atleast once. Unampeleka out na unamlipia bill. Unamfanyia chochote anataka. Manze utaishi life poa na tym umesota ukimsho akuwai ata ngiri kumi anakupatia mara io io. #Mkareh_Admin.
Posted on: Mon, 08 Jul 2013 07:24:20 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015