Dem mmoja kam tumia boyfriend wake sms: Switty - TopicsExpress



          

Dem mmoja kam tumia boyfriend wake sms: Switty niko town, nimeona jeans nikaipenda...inauzwa Sh.8000 dear,ningenunua ila nimesahau handbag home na pesa ziko hapo....nitumie doh kwa Mpesa darling. . Boyfriend akatuma pesa kwa Mpesa fasta fasta...baada ya dakika mbili akapata sms nyingine. . DAME: Dear,mbona umetuma Sh.40 pekee? . Boyfriend: Fare hio....Sh.20 ya kwenda home kuchukua handbag,Sh.20 ya kurudi town...vipi izo jeans ni colour gani? Cant wait to see u wearing them. #khadafi
Posted on: Sat, 26 Oct 2013 04:46:49 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015