Difference kati yetu na nyinyi: 1. Nyinyi mliona strike - TopicsExpress



          

Difference kati yetu na nyinyi: 1. Nyinyi mliona strike ya adeya,sisi tunaona ya sossion. 2. Nyinyi mlikunywa U.H.T, sisi tunakunywa molo milk. 3. Nyinyi mlikunywa tree-top, sisi tunakunywa afya. 4. Nyinyi mlidance kwasa kwasa, sisi tunadance bendover 5. Nyinyi mlipikiwa na arya, sisi tunapikiwa na royco. 6. Nyinyi mlipewa maziwa ya nyayo, sisi tunataka laptop 7. Nyinyi mliwatch day time movie, sisi tunawatch box office. 8. Nyinyi mliplay tape,sisi tunaplay mem card 9. Nyinyi mlistore photos kwa ulbum,sisi tunastore photos kwa fb. 10. Lakini sisi tunakatia,nyinyi mlikatiwa.
Posted on: Thu, 27 Jun 2013 10:40:45 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015