Duh, Vijana tunao tafuta kazi tuna kazi kubwa sana kabisa - TopicsExpress



          

Duh, Vijana tunao tafuta kazi tuna kazi kubwa sana kabisa kabisa. Nimepigiwa simu kwa namba 071xxxxx6. Akajitambulisha na kunieleza kuwa leo ndo wapo kwenye selection ya kuchagua majina ya watu ambao wataitwa kwa second interview ya PSPF, amepitia script yangu so anataka tuzungumze ili niwe shortlisted for the second interview ukizingatia interviewer tulikuwa 22,500 wakitakiwa kuajiriwa watu watatu tuu. Kinacho nisikitisha juu ya hawa majambazi ni kwamba, hata hiyo interview sikuihudhuria kutokana na uhalisia kuwa it is a joke to call 22,500ppl for a vacancy of 3ppl. Jamani rafiki zangu wenye tabia ya ujasiri wa Ujambazi na sio mali huku ni kuuana jamani.......................
Posted on: Wed, 03 Jul 2013 11:32:24 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015