EDO KUMWEMBE anasema haya: ..... namuunga mkono "Haki za - TopicsExpress



          

EDO KUMWEMBE anasema haya: ..... namuunga mkono "Haki za televisheni haziangalii uwingi wa mashabiki...zinaangalia mafanikio ya timu husika katika mwaka ambao wametwaa ubingwa chini ya rights za television. ndio maana Bayern Munich imelipwa zaidi ya Barcelona na kila mtu mwingine baada ya kutwaa ubingwa wa Ulaya. katika msimu wa pili baada ya huu unaotazamiwa kuanza, kama Yanga wakiwa mabingwa wangeweza kudemand kulipwa zaidi. lakini kama sababu ni umaarufu au uwingi wa mashabik mnataka kuniambia Pan Africa ikipanda ilipwe zaidi ya Coastal Union, Mtibwa na Azam kwa sababu ni timu ya zamani na ina mashabiki wengi zaidi?"
Posted on: Wed, 31 Jul 2013 08:14:33 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015