EID MUBARAKA YALE MAANDAMANO YANGU ya peke yangu kuzunguka - TopicsExpress



          

EID MUBARAKA YALE MAANDAMANO YANGU ya peke yangu kuzunguka nyumba kumpinga Ndugu rais kwa kutoweka sahihi muswada wa sheria ya katiba Wakati hoja za wapinzani zina majibu sahihi Yanafanyika leo Te te ha ha ha ha Kweli duniani kunabaadhi ya watu wanavichwa vigumu sana. Yani ata picha ya ukweli walikuwa hawaioni Bado mnataka niandamane? Nauliza hiviii..... From jf and BBC Rais Kikwete ameshasaini mswada wa sheria ya mabadiliko ya katiba uliopingwa na wadau mbalimbali hususani Vyama vya upinzani na wanaharaka mbalimbali, kwa mujibu wa Salva Rweyemamu aliisai tangu tar 10-10-2013 Hapo awali tuliambiwa vyama vya upinzani vingegomea kukutana na rais kama atakua amesaini mswada huo, je walibadili msimamo wao lini? Kwa mujibu wa Salva mkutano huo waliafikiakiana 1. kuwasilisha serikalini haraka mapendekezo ya mabadiliko wanayopendekeza 2. kuwepo na majadiliano ya kudumu na ya karibu katika kujadili mchakato wa katiba mpya ili kuepuka mikwaruzano isiyo ya lazima Source: BBC Swahili(dira ya dunia) KWAKUWA TUNAJENGA NCHI 1.SASA KAMA TUNAMAREKEBISHO TWENDE TUKABADILI SHERIA NA SI MUSWADA KIDUMU CHAMA CHA SIASA
Posted on: Wed, 16 Oct 2013 05:29:51 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015