Enyewe madem, hii ni advice nawapea bure. Hii story ya kulialia - TopicsExpress



          

Enyewe madem, hii ni advice nawapea bure. Hii story ya kulialia fb, mara uko lonely, heartbroken ama unataka chali, jichunge. Machali ni ma opportunists. Wataona ukilia hvyo, watakunyemelea ma words tamu tamu wakiwa wa gentle alafu udhani ni ma Mr. Right. Akisha kuingiza box akute vitu, hautawai mwona tena. Tena mwingine hvo tu. At longlast watakua wamekupitia kadha ubaki hapo unaonekana slut. Ka hauna chali, acha pupa, tulia. Chali atajileta, wa maana tena. Bt ukikua wa kulialia, utalia hadi mwisho juu watakua wakichukua advantage of u. Tunapendanga vitu ready.....Madem, mmeskia?? Admin #PUFFER
Posted on: Mon, 08 Jul 2013 10:26:51 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015