FACTS FACTS FACTS Ronaldo look... -Madrid imechukua kombe la la - TopicsExpress



          

FACTS FACTS FACTS Ronaldo look... -Madrid imechukua kombe la la liga mara 1 tu ndani ya miaka mi6 iliopita (Man utd imechukua mara 4 epl) - Mara ya mwisho madrid kuchukua kombe la uefa ilikua mwaka 2001 na sasa imepita miaka zaidi ya 12 bila madrid kuchukua au kucheza finali ya uefa champions league(Man utd imecheza fainal uefa mara 3 ndani ya muda huo na kubeba mara 1) -tangu mwaka 2002 madrid haijatoa mchezaji bora wa fifa hata mmoja (wakat huo Man utd imetoa mchezaji bora wa fifa mara 1) - madrid ndo team pekee kubwa ambayo haijawahi kupata treble yaani vikombe vi3 kwa msimu mmoja (Man utd ndo moja ya timu pekee iliyowahi kuchukua treble yaani vikombe 3 kwa msimu 1) -msimu uliopita madrid iliachwa point 15 kwenye ligi, katika historia ya laliga hakuna mshindi wa pili aliewahi kuachwa kipande kirefu kama hicho.....! Hey Cristiano umeona comeback home OT. HAHA MADRID p00r. GGMU
Posted on: Fri, 09 Aug 2013 06:26:54 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015