FANAXLOW NA DEM WAKE (wanameet kwa hoteli tao) Fanaxlow: Niaje - TopicsExpress



          

FANAXLOW NA DEM WAKE (wanameet kwa hoteli tao) Fanaxlow: Niaje swty...umeshindaje? Sihaam: poa tu. kuchoka tu ndo zangu Fanaxlow: Aki mi naskia njaa.wee utakula? Sihaam:Hmm...aki c u kno skulangi sana.ntakula kebab pekee Fanaxlow: Hehe uko crias ww? Sihaam: C ivo,naskia tumbo yangu ni kama... Fanaxlow: Ndrama?hehe Sihaam:Hehe acha ufala.naskia ni kama nko na constipation mpaka sina appetite Fanaxlow: Sawa,waiter! nletee chipo sahani moja na soda.uyu atakula kebab pekee...c ndio swty? Sihaam: Ama alete chipo na kuku mzima nione kama ntawezana nazo (zinaletwa na dame anamaliza kwanza mbele ya chali) Fanaxlow: :(anaangalia dame chini ya maji)Wee waiter,mi sjashiba.nletee sahani ingine ya chipo.uyu naona ako sawa.c ndio? Sihaam: Ama aniletee kuku ingine full nione kama tumbo itatulia Fanaxlow: Ati nn!acha ujinga ww!waiter ebu kwanza leta bill nlipe tuende.inaonekana huyu alikua na njaa ya wiki mzima alafu anajifanya ati hana appetite.ni ww uko na constipation ama ni minyoo?heh wee nmekuogopa.unaweza kula sahani tatu kimchezo tu!!!kama bado unaskia njaa tuende hoteli ya mtaa nkakubaie chafua matumbo... ONE WORD FOR
Posted on: Sun, 17 Nov 2013 06:20:14 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015