FEWX!!!..kuponea kifo nayo....nakwambia afathali nikae bachelor - TopicsExpress



          

FEWX!!!..kuponea kifo nayo....nakwambia afathali nikae bachelor mambo na marriage apana...imajin jana nimefika nimechelewa kitu saa nne...kuingia makejani...ati hawayu switty...venye naangaliwa..nika niko na ikus ya audrey kwa uso..eeeish ikabaki nimenyamaza...kuangalia kwa stove ..nacheki ...maji ina boil kama ya kutoa kuku manyoya..alafu kuangalia hapo naona ugali ishapikwa..nikajiguzisha thamos kinjaro...nikapata imejaa chai....nikaona hapa...apana..AM STIL YOUNG...ikabidi nimechukua kipaper bag cha green nikaweka nguo zangu zote...na kabla ya stori mingi nikadai nimepeleka tunguo nikapee needy childrens...mimi huyo...nikaponea kifo...ata sahizi ndo nimefika kwa beshte yangu..juu nilisahau mbesha....nakwambia...wenye mnaplan tu MARRIAGE..ole wenyu..hutu tu manzi mnaona hapa....huh!!SIOI NASIOI...eeee PhabZ ndo amenena
Posted on: Mon, 24 Jun 2013 05:22:22 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015