FIGO: SAFISHA FIGO KWA KUTUMIA GILIGILANI/ KOTIMIRI/ CORRIANDER - TopicsExpress



          

FIGO: SAFISHA FIGO KWA KUTUMIA GILIGILANI/ KOTIMIRI/ CORRIANDER LEAVES Picha hapo chini inasaidia kuelewa giligilani au kotimiri (coriander leaves kwa kiingereza) ni nini. Majani haya husaidia kwa kiwango kikubwa kusafisha figo. Ni vema tukajenga mazoea ya kusafisha viungo vilivyopo ndani ya mwili ili kuendeleza ufanyaji kazi mzuri wa viungo vyetu. Figo zinafanya kazi ya kuchuja damu au kuisafisha damu kwa kuondoa chumvi, sumu na kitu chochote ambacho hakihitajiki ndani ya mwili. NAMNA YA KUTENGENEZA JUICE GILIGILANI/ KOTIMIRI 1. Chukua majani ya kotimiri na kisha uyasafishe 2. Kata vipande vidogo vidogo 3. Changanya kotimiri pamoja na maji yakutosha 4. Chemsha mchanganyiko huo kwa muda wa dakika 10 5. Uache mchanganyiko huo upoe 6. Chuja mchanganyiko huo mara ukishapoa 7. Ukiweza weka kwenye friji ipate ubaridi kidogo 8. Kunywa juice hiyo (jitahidi kupata glass 1 kila siku) NB: Ukifanya hivyo, utagundua utofauti katika mwili wako ambao hujawahi kuuona, mkojo utakuwa na rangi tofauti wakati uchafu wa uliokuwa kwenye figo utakapokuwa ukitoka. PATA GLAS 1 KILA SIKU KWA SIKU 5 SHARE na wengine ili wafaidike na habari hii
Posted on: Tue, 24 Sep 2013 11:48:45 +0000

Trending Topics



econd Alice was a fragile man of the diamond. The broken
.Pare e pense: pra onde estás indo? Os sinais já podes

Recently Viewed Topics




© 2015