FLASH BACK:I am nat a music fun bt i am just in love with this - TopicsExpress



          

FLASH BACK:I am nat a music fun bt i am just in love with this verse as a poet (not otherwise) VERSE 2 hata nikitaka kuoa niambie ntamuoa nani? watu wana watu wao wengine toka zamani ukiambiwa we ni boyfriend haimaanishi uko peke yako wadogo usoni wanahifadhi wazee wako sijui ni dhiki au tamaa tu? watoto wanaanika njaa tu hawafikirii mapenzi wanachoona wao ni mkwanja tu msinipe headache staki kufuata Mkumbo nyi anzeni mi niacheni,staki kufanya gamble marafiki wanauzana/ndio zao vicheche na daima wanateteana/usiwaamini usiniangushe anataka kuolewa na anamegwa kama kawa demu wako akiuza wenzake,zinduka nae analiwa/yes staki kuoa sababu staki kulia najipanga nisiharibu staki mje kunihurumia nafahamu nna Bahati mbaya kama nalala na bundi ndio maana sijipi moyo wala sijitii maufundi alilala na bibi arusi/siku moja kabla ya arusi na wala sio bwana arusi/bado mnanishauri arusi? eti nizibe maskio wengine nifumbe macho nisione wakati naibiwa? hamuwezi kuwa hamjalewa by Hamis Mwinjuma(Mwana F.A)
Posted on: Sun, 24 Nov 2013 08:19:07 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015