FROM LA MASYA PAGE TODAY "(Utongozajij wa kiafande); - TopicsExpress



          

FROM LA MASYA PAGE TODAY "(Utongozajij wa kiafande); DEAR. Unajua nakuthamini zaidi ya rushwa na posho! Bila ww, mm siwezi kuishi, ni sawa na kukosa bunduki eneo la tukio! Nakuheshimu km ninavyoheshimu lindo! Ww ni IGP wa moyo wangu! Mbona upo kimya, nina RB ya penzi lako! Nijibu nifungue jarada lako ndani ya moyo wangu! Usifanye moyo wangu ukaenda mbio km difenda mpya ya police Nakuhakikishia usalama km msafara wa Rais! Usiniweke roho juu km maandamano ya CHADEMA! Plz nijibu Time: 23/07/2013 21:08:32"
Posted on: Tue, 23 Jul 2013 18:11:55 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015