Fb chat.. Boy: niaje msupa?? Nimekumiss ile yangu yote, bas kama - TopicsExpress



          

Fb chat.. Boy: niaje msupa?? Nimekumiss ile yangu yote, bas kama vipi nikikam on thursday sleep over!? Dame: k. Boy: sasa kwani ulienda ukasahau kuongea? Ama unadai nikuwekee bamba 5 ndio uweze kuongea? Dame: poa. Boy: nkt! Aaaaargh! Umeanza kunisinya hata ntatafuta dem mwingine! Dame: mmmmmh! Boy: kwenda kabisa! Hata sitakuambia job yenye nimeget na how much they pay! Dame: aki sweety nilikuwa nakutania, anyway on thursday we kuja sleep over... Niforgive vile nimeact. Chali: k. Dame: alafu juu ya iyo story, umeget job gani? Na inapay how much? Aki supu siunakuanga tu umenijaz! Boy: poa. Dame: nkt! Si uongee kama unaongea! Boy: mmmmh.. Dame: nkt! Kisigino ya nungunungu hii..(ana attach na ile photo ya.." nugu ni nugu tu" then sends) Chali: buree kabisa.. (ana attach ile photo ya" na hii ujinga yote imetoshea aje kwa kichwa yako?")
Posted on: Wed, 31 Jul 2013 09:42:20 +0000

Trending Topics




© 2015