Frank Makange shared the following link and had this to say about - TopicsExpress



          

Frank Makange shared the following link and had this to say about it: "Kwa upande wangu, binafsi, sijasema lolote kuhusu Rwanda pamoja na maneno mengi ya matusi na kejeli yanayotoka kwenye vinywa vya viongozi wa Rwanda dhidi yangu. Siyo kwamba siambiwi yanayosemwa au sijui kusema au sina la kusema, la hasha. Sijafanya hivyo kwa sababu sioni faida yake." ~ Rais Jakaya Kikwete VIDEO: frankmakange/st...
Posted on: Mon, 05 Aug 2013 08:56:10 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015