From Bwana Mushi Hiyo internet ya ofisi unavyoikomoa, umefungua - TopicsExpress



          

From Bwana Mushi Hiyo internet ya ofisi unavyoikomoa, umefungua blogs zote kwa mpigo, youtube, skype, twitter, instagram na Facebook ndo homepage, wakati boss wako siku nzima amefungua emails tu, basi ndo hivyo hivyo na housegal/houseboy ulomwamcha home, naye ameshika rimoti yako ya deki, tv, Dstv, Staataimz, kawasha feni kajisogelezea, friji, nje kuna taa zinawaka we ukija unadhani kaziwasha jioni, anakunywa maji yako ya CoolBlue anarejeshea ya bombani, na ka hufungagi chumba saivi kajilaza bed kwako. Yes, we si una fujo za mjini huku online, na wenzio wana za kijijini home-offline, Ngoma droo!
Posted on: Wed, 18 Sep 2013 16:22:39 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015