Furaha yako leo nihuzuni ya baadaye kwa hiyo kaa makini ukilijua - TopicsExpress



          

Furaha yako leo nihuzuni ya baadaye kwa hiyo kaa makini ukilijua hili................. Kwa uzuri ulionao ni wengi watakufuata na kukulaghai kwa kila kitu na wengine watakuja kwa mbwembwe za kukujengea majumba , magari ya kifahari na wengine watakupromise vitu vingi ambavyo kwa vyovyote utakubalitu lakini hiyo yote ni chachu tu ya kukuweka katika hali ya kuwa kubali fikiria safari yako bado inaendelea na hapo ulipo ni mwanzo tu bado mwisho hujafika na usijidai wewe ni mzuri sanaaaaaaaa ndiyo ukawa unajisikia kila unapo pita ......................... kaa makin sana na hanasa za watuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Posted on: Mon, 23 Sep 2013 06:25:08 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015