GOSPEL MEANS GOOD NEWS... Sasa mtu analeta ujumbe kwamba Mungu - TopicsExpress



          

GOSPEL MEANS GOOD NEWS... Sasa mtu analeta ujumbe kwamba Mungu ataipiga Tanzania kama ilivyokuwa Rwanda, Burundi, Pakistan, Syria etc. Alafu Manabii hawa wanatoka Kenya, Rwanda, Congo na Burundi.. wanasema Hasira ya Mungu imetanda anga la Tanzania... Mi siwaelewi Kabisa hawa watu.. Kwa nini wasiseme neema ya Mungu imetanda juu ya anga la Tanzania ili watu wengi waokolewe.. Hii gospel sio gospel ya neema... They want to copy and paste balaa from one country to another... We stand firm in the gates of Tanzania to refute all prophet declarations from our neighbors that lack biblical support... This is the era of Grace late us not take it for granted... SPREAD GOOD NEWS...... COME YOU WHO ARE HEAVILY LADEN AND I WILL GIVE YOU REST......
Posted on: Wed, 10 Jul 2013 07:35:02 +0000

Trending Topics




© 2015