::::HABARI FUPI FUPI ZA SOKA LEO :::::::: 1. Timu ya soka ya - TopicsExpress



          

::::HABARI FUPI FUPI ZA SOKA LEO :::::::: 1. Timu ya soka ya Wabunge mashabiki wa Yanga wamewafunga wenzao mashabiki wa Simba kwa Penati 4-2 katika mchezo wa Kombe la Matumaini,Taifa Dar Es Salaam. 2. Klabu ya Simba Imetoa kipigo kwa timu ya Rhino ya Tabora kwa kuifunga 3-1 katika Ziara yake ya kujiandaa na Ligi kuu msimu ujao, Ally Hassan Mwinyi Tabora 3. Yanga Imekubali kipigo cha 2-1 toka kwa Mabingwa Wa Uganda KCC, Kambarage Shinyanga 4. Man United, Spurs na Arsenal wote wanawinda saini ya Beki wa Inter Milan Andrea Ranocchia { Forza Italian Football} 5. Kocha wa Dortmund Klopp amesema staa wa timu hiyo Roberto Lewandowski atajiunga na Bayern Munich mwakani hivyo timu zinazomwania mwaka huu wasahau. Chelsea na Man United ndo wako mstari wa Mbele kumpata jamaa.{ Daily Mail} 6. Iraq Imeingia katika nusu fainali ya Kombe la Dunia kwa Vijana U20 baada ya kuwatupa nje Korea kwa mikwaju ya Penati. 7. Totenham Hotspurs wamemkaribisha Paulinho kutoka Corinthias ya Brazil kwa ada ya uhamisho wa Paundi milion 17 8. Barcelona wametenga Paundi milion 32 kumnasa beki wa Roma Marquinhos mwenye umri wa miaka 19 ili kuimarisha safu yake ya Ulinzi iliyotetereka msimu ulioisha. 9. Alvaro Negredo anakamilisha hatua za mwisho kujiunga na Manchester City kwa Ada ya uhamisho Paundi milioni 20 toka Sevilla 10. Liverpool Wanajipanga kuvunja mwiko wao wa kusajili wachezaji wenye umri wa zaidi ya miaka 30 kwa kumsajili kiungo wa zamani wa timu hiyo Xabi Alonso kutoka Real Madrid kwa ada ya uhamisho Paundi milion 10. Alonso ana miaka 31. {Mail On Sunday} 11. Kocha wa Chelsea Jose Mourinho anaamini kama Yeye ndo kaifanya Chelsea Kujulikana Ulimwenguni baada ya kujiunga na timu hiyo mwaka 2004 na sasa anapael" za Barcelona,Man United,Real Madrid na Bayern Munich {Sunday Mirror} ~~ Edo ~~
Posted on: Sun, 07 Jul 2013 18:43:55 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015