HABARI: Wanasiasa wametosha, wanahitajika wanasayansi - TopicsExpress



          

HABARI: Wanasiasa wametosha, wanahitajika wanasayansi zaidi Rais Kikwete amesema kero ya wanafunzi kukosa vitabu vya kusomea yatosha, sasa kila mwanafunzi anatakiwa apewe kitabu chake kwa kila somo. Pia ameongeza kuwa sio kila mtu katika nchi ya Tanzania atakuwa mwanasiasa, hao wapo wa kutosha na wengine kazi yao ni kuanzisha vurugu ila nchi kwa sasa inahitaji wanasayansi zaidi, kwahiyo kila mwanafunzi kuwa na kitabu chake itasaidia.
Posted on: Fri, 25 Oct 2013 09:20:25 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015