HAKIKA WANAWAKE NI WATU WASIOTABIRIKA.. - Mwaka jana - TopicsExpress



          

HAKIKA WANAWAKE NI WATU WASIOTABIRIKA.. - Mwaka jana nilimnunulia zawadi nzuri, akaniambia amekosa maneno ya kunishukuru... Hivyo mwaka huu nikaamua kumnunulia Kamusi.... Mwisho wa Siku akaamua kunimwaga. - Wanaweza kupigizana kelele na wewe kwa zaidi ya dakika 20 kisha mwisho wa siku utawasikia.... Sitoendelea tena kupigizana kelele na wewe Daaah kwani muda wote umekuwa ukifanya nini? - Wakiwa na umri wa miaka 20 mpaka 25, huwa wanakuwa na tabia ya ya kuchagua aina ya mwanaume wamtakaye kama shindani la Bongo Star Search, na wanapofikisha umri wa miaka 28 na zaidi huanza kutafuta mwanaume wa kumuoa kwa udi na uvumba kama Polisi wanavyomsaka Jambazi Sugu. - Kila mwanamke huwa anasalia na kuomba kupata MWANAUME MCHAPAKAZI aje kuwa mume wake, ila cha ajabua huwa hawawataki Wabeba Magunia wa Sokoni, Wasukuma Mikokoteni nk. - Wanawake wengi watafanya kila njia kuweza kuvaa Weaving za gharama, wakati wanafahamu fika kwamba wanaume wengi huwa hawajui tofauti kati ya nywele ya Brazil na Darling Yaki.... UONGO au KWELI...?
Posted on: Thu, 14 Nov 2013 08:28:14 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015