HAMNA KITU CHOCHOTE CHENYE KUSABABISHA ROHO AU USO KUKUNJANA MARA - TopicsExpress



          

HAMNA KITU CHOCHOTE CHENYE KUSABABISHA ROHO AU USO KUKUNJANA MARA NYINGI NA KWA NGUVU ZOTE KULIKO KUKATA TAMAA. PINDI AMBAPO UTAHITAJIKA KUTABASAMU. UTATENGANA NA VITU PAMOJA NA KUKATA TAMAA NA KUTOKUWA NA MATARAJIO. mlango wa bahati uko wazi maisha yote kwako. Wewe na wengine. Na huo ndio mlango wa mafanikio. Hivyo basi itengeneze akili yako ama irekebishe akili yako kwenda katika mtizamo wa matarajio ndani ya wakati ujao
Posted on: Sat, 19 Oct 2013 21:17:00 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015