HAYA jamani yule jamaa aliyekuwa mfungaji bora kwenye vita Darful - TopicsExpress



          

HAYA jamani yule jamaa aliyekuwa mfungaji bora kwenye vita Darful sisi tukaogopa kwenda ametua jana tu Kahama na siku hiyo huyo akacheza mechi akatupia bao moja! kaeni chonjo saa mbaya! Maana amekuja kwenye amani na utulivu! Mwaka jana alikuwa mfungaji bora Burundi kwa magoli 28 mwaka huu hadi anaondoka kaacha magoli 21 akiwa anaogoza! labda apitwe baadaye maana ligi inaendelea! anaitwa TAMBWE AMISSI!!!
Posted on: Thu, 22 Aug 2013 13:17:50 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015