@HEBU TUFAHAMIANE..!! MAJINA KAMILI: Albert Anam Nyaluke - TopicsExpress



          

@HEBU TUFAHAMIANE..!! MAJINA KAMILI: Albert Anam Nyaluke Sanga, MAJINA TAJWA: Nyaluke, SmartMind KUZALIWA: 10/Januari/1986, Kibao-Mufindi ELIMU: Msingi (Kibao-Mufindi, 1994-2000), Sekondari O-Level (Mazengo-Dodoma 2001-2004), Sekondari A-Level (Ilboru-Arusha, 2005-2007), Chuo Kikuu (Tumaini-Iringa, 2008-2011) TAALUMA: Mwanabiashara mbobevu katika Masoko (BBA-Marketing) KAZI: Mtunzi(Author), Mwandishi & Mchambuzi (Writer & Analyst), Mshauri(Consultant), Msemaji (Speaker) na Mjasiriamali (Entrepreneur & Investor) TAASISI RASMI ZA KAZI: a) Jamhuri Media Limited, (Mwanasafu/Mwandishi na Mchambuzi wa masuala ya Biashara na Uchumi kwenye gazeti la Jamhuri), b) Anesa Company Limited (Mjasiriamali, Mfanyabiashara & Mwekezaji) KWINGINEKO: Mjengwablog, Wavuti, lundunyasa.blogspot, lutaalicia.blogspot (Mchambuzi na mwandishi mwalikwa wa habari za biashara, uchumi na ujasiriamali) MTAZAMO WANGU KIMAISHA: Kila mtu ameumbwa kutimiza kusudi lake la kipekee duniani. Hakuna sababu ya kujilinganisha wala kushindana na yeyote kimaisha. Mtu pekee ninaeshindana nae duniani na ambae ni lazima nimfikie asilimia 100% kabla sijafa ni mimi mwenyewe! ~SmartMind~
Posted on: Sat, 07 Sep 2013 10:30:31 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015