HELP HELP PLIZ. Familia moja kutoka sehemu ya Nyabite mjini - TopicsExpress



          

HELP HELP PLIZ. Familia moja kutoka sehemu ya Nyabite mjini Nyamira wanawaomba wasamaria wema kuwasaidia katika kuchanga pesa za kugharamia matibabu ya mtoto wao msichana mwenye umri wa miaka mitatu unusu ambaye anahitaji matibabu ya dharura ya upasuaji wa moyo kwenye hospitali moja nchini India. Wasamaria wanaweza kumfikia babake mtoto MICHELLE MORAA kwa nambari 0725-952-360, Au Equity A/C No. 0520161289746-Michelle Moraa
Posted on: Tue, 06 Aug 2013 16:57:39 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015