HIZI NI SALAM ZAO TOKA KWA NAY. Jamani haya ni baabdhi ya mashairi - TopicsExpress



          

HIZI NI SALAM ZAO TOKA KWA NAY. Jamani haya ni baabdhi ya mashairi ya wimbo ujao uitwao SALAMU ZAO wa NAY wa MITEGO "Mie ndo rais wa manzese yule tozi kasanda Mchomvu wape salamu kubum kubaa waambie game imebadilika Mie rafiki wa Lowassa elfu mbili kumi na 5 ndo nampigia kampeni Na salamu kwa kanumba na ngwea siku ya msiba michango yao watu wamenunua magari na nyumba mkizingua nawataja ... Ridhiwani mwambie baba ako wamakonde awataki korosho wanataka gesi Salama kwa madam lita walter chilambo kapigika kma zamani million hamsini ziko wapi" #usikumwema.
Posted on: Thu, 01 Aug 2013 21:12:40 +0000

Trending Topics



-height:30px;">
Writer Dar ShahId ...i m crying for the incedent occured
TECH JOB OPPORTUNITY ON CAMPUS Revista Jurídica de la Universidad
STROMMEN & STAVOLA TAKE FIRST ITC RACES TO WINS; JOHNSON CAPTURES

Recently Viewed Topics




© 2015