HOTMIX (11:00 Jioni): Baada ya HAMA Q kutembeza kichapo cha nguvu - TopicsExpress



          

HOTMIX (11:00 Jioni): Baada ya HAMA Q kutembeza kichapo cha nguvu kwa mkewe SALHA sasa wawili hao wafanya ngoma ya pamoja, ambayo imesebabisha SALHA atimuliwe Dar Modern Taarab. Wote wawili watakuwepo studio... Una lipi la kusema kuhusu hilo? Tupia maoni yako hapa. Timu ya soka ya HISPANIA yaichapa TAHITI mabao 10-0 katika michuano ya kuwania kombe la mabara, unafikiri kama Tanzania ingepewa nafasi ya TAHITI katika mashindano hayo, matokeo yangekuwaje? Mbali na hizo kuna kali kibao kutoka Bungeni, mambo ya Movie, Music na kwa kuwa leo ni siku ya muziki duniani kuna kitu “SPESHO” kwa ajili yako.
Posted on: Fri, 21 Jun 2013 13:58:23 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015