Habari, tunakualika kushiriki katika matangazo ya AMKA na BBC na - TopicsExpress



          

Habari, tunakualika kushiriki katika matangazo ya AMKA na BBC na Dinah Gahamanyi , ambapo miongoni mwa yale tuliyokuandalia ni pamoja na: *Ufaransa yasema Utawala wa Syria sharti uchukuliwe hatua kwa matumizi ya silaha za sumu dhidi ya raia. *Mjumbe maalum wa Umoja wa Maziwa Makuu Mary Robinson yuko mjini , lakini raia hawakufurahishwa na wito wake kuzungumza na waasi. *Tutaendelea na makala zetu kuhusu wahamiaji haramu wanaofurushwa Tanzania. Changia kupitia ukurasa huu.
Posted on: Tue, 03 Sep 2013 02:05:08 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015