Habari ya asubuhi wapendwa. Je nianze kuposti stori ipi kati ya - TopicsExpress



          

Habari ya asubuhi wapendwa. Je nianze kuposti stori ipi kati ya hizi zifuatazo? 1. Mafisadi wa Afrika 2. Bora Nyerere 3. Kwa nini mimi? 4. La aziz wangu Monica 5. Mapinduzi ya fikra. Ile itakayokuwa na wapenzi wengi ndiyo nitakayoanza kuiposti mapemaaaaa na pia stori zote zitakuwa zikipostiwa kupitia page yetu mpya iitwayo "Paul de Artiste du Setarial", so fanya kulike page iyo ili twende pamoja. Asubuhi njema
Posted on: Wed, 07 Aug 2013 02:52:30 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015