Habari za saa izi all fans wa malaika music band naomba kuuliza - TopicsExpress



          

Habari za saa izi all fans wa malaika music band naomba kuuliza vyombo vya habari vyoteTanzania nikijumhuisha tv,radio,gazeti na mitandao ya kijamii na waafrika wenye degre zao inakua Je mtangazaji ameajiriwa na kituo kikubwa cha media Tanzania ameanzisha mtandao kwa kujinufaisha yeye pekee yake uku akitumia radio na tv uku akiomba Namba za simu za manager ama boss wa ma bendi ili atumiwe hela, sasa amevuka mipaka na kuingilia kazi ya mwenyezi unakaa na kuzalilisha wanenguaji wa malaika band nakugeuza Jina la malaika band nakutuita masheteni bendi unataka mungu awaumbe vipi ata Kama ni walemavu sisi tu namshukuru mungu stage shows wetu si ma model ila kazi yao show ndo ume wafanya wasimame kwenye bendi yetu si sura malaika band hatuwauze stage show wetu mbali tunadili na mziki na ndo inatufanya tusomeshe watoto wetu na kuna watu wamekeza kwetu mpaka tusimame na kusomesha watoto wetu sasa uwamzi tume chukua ni wa kuandikia viongozi wa uyo mtangazaji barua ya kutuaribia biashara ni mwana sheria wetu ataipeleka ofisini kwake na sheria it achukue mkondo wake, ushauri wenu wadau mi naona unyama unyama tu
Posted on: Thu, 28 Nov 2013 19:57:32 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015