Habarini za asubuhi wapendwa ni jumaapili nyingine ya mwaka huu - TopicsExpress



          

Habarini za asubuhi wapendwa ni jumaapili nyingine ya mwaka huu ninayo furaha kubwa kukushilikisha neno laimani,basi imani ni kuwa nahakika ya mambo yatarajiwayo ni bayana mambo yasiyooneka,ndugu yangu hata kama uliahidiwa jambo kuubwa kiasi gani ni lazima tu uwe naimani kwamba itakuwa bila hivyo. haiewezekani, hata siku ya leo amini unaenda kupokea kitu kuto kwa mungu wako ambaye ni mungu wetu sote karibu ktk ibada ya leo victorious mabibo extenal
Posted on: Sun, 07 Jul 2013 00:24:08 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015