Haha Tatu alijamba darasani basi mwalimu wa somo la - TopicsExpress



          

Haha Tatu alijamba darasani basi mwalimu wa somo la hisabati akamtoa nje ya darasa. Akiwa nje akaanza kucheka peke yake,mara mwalimu mkuu akapita na kumuuliza. M/mkuu:haya we Tatu unacheka nini na kwanini uko nje ya darasa? Tatu:nilijamba darasani sasa mwalimu akanitoa nje ya darasa,sasa kinachonifurahisha ni kwamba mimi niko nje navuta hewa safi kabisa wao wako darasani wanapata tabu na harufu ya ushuzi wangu
Posted on: Thu, 25 Jul 2013 07:53:38 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015