HahahSWEET MEMORIES,,my bro akiwa class 4 alikua amezoea akitumwa - TopicsExpress



          

HahahSWEET MEMORIES,,my bro akiwa class 4 alikua amezoea akitumwa mafuta taa ya20 anabuy ya17 anakula 3bob,,,,akaendelea hivo akaona hajabambwa akaanza kubuy ya15 anakula kobole,bt alimake sure niyy alikua anaweka mafuta kwa taa,,,,akaendelea mpaka akaanza kubuy ya 12 anakula 8bob....Dai moja AmosKimunya akasoma budgt parafin ikapandishwa.kamakawa bro akatumwa,shopKipa akamshow hakuna ya 12labda ya10,fala wangu alikua amekula doo za juu,akabuy ya 10 na akakojolea,,,ujinga alikojolea excess pwahahahaha
Posted on: Wed, 20 Nov 2013 18:29:20 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015