Hata panga iwe kali aje haiwezi kata kiu..... Hata uwe na magari - TopicsExpress



          

Hata panga iwe kali aje haiwezi kata kiu..... Hata uwe na magari mia choo utaenda miguu .......Hata uwe fundi aje huwezi repair breaking news..... Hata uwe mweupe aje shadow yako bado itakuwa nyeusi..... Hata nyani awe mtaalamu vipi hawezi rukia branch ya bank.... Hata manzi ajifanye maringo aje pia simba na ukali wake hutiwa mimba...... Hata uzame vipi huwezi toka na samaki katika dimbwi la mapenzi... ADMIN RISH
Posted on: Sat, 30 Nov 2013 18:31:01 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015