Hata panga iwe kali kiaje haiwezi kata kiu *hata uwe - TopicsExpress



          

Hata panga iwe kali kiaje haiwezi kata kiu *hata uwe kinyozi hodari aje huwezi nyoa vichwa vya habari *hata uwe msafi aje huwezi nawa mikono wakati wakukula hongo *hata ukule kiapo mara mia njaa itabaki pale pale *hata uwe na magari mia saba chooni utaenda miguu *hata uzame vipi huwezi toka na samaki katika dimbwi la mapenzi *hata historia ya marehemu iwe nzuri aje haipigiwi makofi *hata uwe fundi aje huwezi repair breaking news. *hata ukuwe mweupe aje shadow yako bado itakuwa nyeusi *Hata nyani awe mtaalamu vipi, hawezi rukia branch ya benki *hata manzi ajifanye maringo aje, pia simba na ukali wake hutiwa mimba Ata redio yako ikue noma aje haiwezi shika police station. ata kemboi awe mkimbiaji aje lazima apande ndege kwenda beijing
Posted on: Fri, 18 Oct 2013 15:35:19 +0000

Trending Topics



v>

Recently Viewed Topics




© 2015