Hatimae Kamanda wa Jeshi la Misri atangaza kua Rais wa Misri yio - TopicsExpress



          

Hatimae Kamanda wa Jeshi la Misri atangaza kua Rais wa Misri yio Rais tena wa Nchi hiyo,na kutangaza uchaguzi wa mapema,hili ni funzo kwa majeshi yetu ya Tanzania kuegamia upande wa serikali hata kama inafanya madudu,na kuzima harakati za kisiasa,jeshi likae pembeni,kikinuka basi Jeshi la wananchi lifanye kazi yake bila kuegamia kwa Dikiteta,nguvu ya UMMA ikichachamaa hata majeshi yakiingilia kati hayawezi,..........
Posted on: Wed, 03 Jul 2013 19:53:38 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015