Hatimaye SOMESHA MTOTO MMOJA Program Kuzinduliwa Leo Ndani ya - TopicsExpress



          

Hatimaye SOMESHA MTOTO MMOJA Program Kuzinduliwa Leo Ndani ya Ukumbi wa LANDMARK UBUNGO... HAKUNA MTANZANIA MWENYE SIFA ZA KUSOMA ATAKAYE ACHWA NA MPANGO HUU UNAOLENGA KUWASOMESHA WATOTO WA TANZANIA BILA KUJALI MKOA, DINI, KABILA WALA RANGI YA MTU... WATU 250 WATASHUHUDIA THIS NEW CULTURE IN TANZANIA.... NI VIZURI KUACHA LEGACY NDANI YA MOYO WA MTU JAPO MMOJA TU.... NAJUA WAADAU WOOTE Pamoja na Samuel Sasali, Noell Tenga, Sun Bella, Seth De Jesus Giovanni, Gee Maarufu, John Sembatwa, Joshua Makondeko, Prosper Alfred Mwakitalima, Dismas Lyassa, Dismas Lyassa, najua Kadi mmezipata na mtazingatia Muda...
Posted on: Fri, 27 Sep 2013 06:22:17 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015