Hatua tatu Jumatatu November 11 katika ushauri wa bure: Kumekuwa - TopicsExpress



          

Hatua tatu Jumatatu November 11 katika ushauri wa bure: Kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa wananchi kwenda kwenye shirika la umeme TANESCO kwa sababu ya huduma zao dhaifu Mfano: Ukitaka kuingiza umemenyumbani kwako unalipia kila kitu ila utazungushwa sana mpaka uwekewe umeme, ikitokea tatizo wamekuwa ni wazito kushughulikia,nguzo zikianguka matengenezo yanachukua muda mrefu n.k Je kama mwananchi wa kawaida unaushauri gani kuhusiana na uzembe huu wa TANESCO? Toa ushauri wa bure.
Posted on: Mon, 11 Nov 2013 05:57:56 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015