Hi Kenya ya Uhuruto! 1.Ati unabeba guitar coz wewe ni msanii,kwani - TopicsExpress



          

Hi Kenya ya Uhuruto! 1.Ati unabeba guitar coz wewe ni msanii,kwani Malaya hubeba Kitanda? 2.Kuwatch Horror Movie ni 1000/=,kwani Satan aliact live? 4.Ati kuona Dktr ni 1k,kwani ametoa nguo? 5.Ati boxer ni 900 kwani iko na suspender za testicles? 6.Ati elimu ni ngao kwani twaenda kwa vita? 7.Ati mwisho wa gari ni hapa kwani likipita hapo linakuwa ndege? 8.Gari halina wa2,kwani Dere&kondakta ni Wanyama? 9.Ati pads 1k kwani huja na drainage system! 10.Ati Prado ni 6M kwani utapewa Probox as nyongeza? 11.Ati Pad 200 kwani Madem wananyesha Mawe? 12.Ati success card ni ksh 500 kwani iko na mwakenya! Gud9t Pals.
Posted on: Wed, 16 Oct 2013 19:34:43 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015