Hi admin, im Melisa, a student in Nairobi university. I met this - TopicsExpress



          

Hi admin, im Melisa, a student in Nairobi university. I met this dude on fb. He is a kenyan bt then alikuwa Sisco bay chicago. Nikamseduce mpaka aliporudi Kenya tukaplan tupatane. Hakutaka public places coz alihofia usalama wake and so, i was forced to go kwake. The day before date, alitumwa na maparo kwa marela wake na hapo akanicall kuniinform. Niliamua kumfuata coz home ni Kitengela na tulipatani kwa cafe inaitwa Fish centre. I was shocked kufind ni blind.Nilimdodge na nikaishia. Akakua ananicall sana na weekend moja nikaamua kumconlaptop yake. Nilimuomba akakubali niendee. Alinimeet na tukaenda kejani. Nilitaka animange ndio nikienda na lap nisifeel guilty. Jamaa alidinda na nikaenda na lap yake kimoja. Je nina makosa ama makosa ni yake kutrust stranger?
Posted on: Thu, 08 Aug 2013 03:22:17 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015